Mbobo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 1,392
- 1,818
InaitwajeDarassa jamaa anatuangusha sana,katoa boko jingine kamshirikisha Maua Sama,jamaa sijui maprodyuza wake hawamshauri vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InaitwajeDarassa jamaa anatuangusha sana,katoa boko jingine kamshirikisha Maua Sama,jamaa sijui maprodyuza wake hawamshauri vizuri?
SHIKAInaitwaje
Mwana anazingua Sana, wimbo mbovu kweli aisee mi nimeuangalia dk moja tuu nikaachana naohii nyimbo mpya aliotoa na Maua Sama ni mbovu balaa, halafu mbishi hataki ushauri, unga umempoteza