Hivi Dax ni nani?

Hivi Dax ni nani?

Habari marafiki napenda kumfahamu huyu mtu anayeitwa Dax. Nimekua nikifuatilia nyimbo zake naona ni zatofauti sana. Dax ni nani?
Hebu tizama hii video yake.

Naona kabeba msalaba km yule aliekataliwa na wana wa Israel kwamba ni illegal to talk about Jesus Christ in Israel,
 
DAX pamoja na kuimba kote ila bado anachukuliwa kama underrated rapper..
 
The most underrated rapper

Jamaa ana maubunifu flani Hivi amazing
 
Moja Kati ya wanna hip hop flani noma kiroho safi- Nyimbo zake Kama 👉 alcohol, Hiroshima featured by khaligraph Jones.
👉Rap god1, rap god2 zimemtoa kinima
 
Sikuwahi kusikia ata jina lake. Nashukuru nimepata nafasi kusikiliza musiki ya maana. Anaonekana anajitahidi kuuliza maswali magumu katika vitu mbalimbali. Worth watching
 
Back
Top Bottom