Hivi demokrasia ni Marekani kuzivamia Iraq, Libya, Kongo, Afganstan, Vietinam, nk??

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni.
Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi.

Afrika haihitaji hiyo demokrasia kwa sasa naimani kama demokrasia inamaana ya wanasiasa wa Afrika wanavyoitafasiri basi waitishe kura za maoni kupitia utafiti wa wazi kwa nchi za Afrika wakihoji je wananchi wanataka mfumo upi wa utawala wa kijeshi au wanasiasa i.e:demokrasia?

Kwa upande wangu naamini utawala wa kijeshi utashinda kwa uhakika kwa sasa
 
Hawana demokrasia hao ni wajanja ,uzuri wao wana vibaraka wengi tu wakuwatetea.

Hao jamaa na umoja wa ulaya ,huwalipa wanawake mshahara pungufu dhidi ya wanaume ...Ukisema hili wazee wa kingereza watakujia juu ,hapa bongo mishahara ni sawa kwa jinsia zote kama mko level moja.

Wazungu walikuwa na idea ya kuwatumia wanawake kufanya kazi kwa vile ni cheap kuliko wanaume ,baada ya ukoloni kuishi waliona bora kuwaajiri wanawake ili kuwalipa less amount ...Hili hakuna anayelijua kabisa.

Leo utasikia mtu kashupaza shingo ''Demokrasia ''
 
Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni.
Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi.

Afrika haihitaji hiyo demokrasia kwa sasa naimani kama demokrasia inamaana ya wanasiasa wa Afrika wanavyoitafasiri basi waitishe kura za maoni kupitia utafiti wa wazi kwa nchi za Afrika wakihoji je wananchi wanataka mfumo upi wa utawala wa kijeshi au wanasiasa i.e:demokrasia?

Kwa upande wangu naamini utawala wa kijeshi utashinda kwa uhakika kwa sasa
Japo nakubaliana na wewe nusu kwamba Demokrasia kwa Afrika bado ni shida. Lakini pia utawala wa kijeshi ni janga kubwa zaidi. Ni nchi chache zilizotawaliwa kijeshi zimefanya vyema.

Ila pia kwahiyo tafsiri yako ya Demokrasia inabidi tu tukupeleke VETA hakuna namna. Hata kama ni kwa lazima🤣
 
Ni nchi zipi zinazotawaliwa kijeshi au kifalme zina shida ukilinganisha na nchi zinazotawaliwa kidemokrasia?
 
Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni.
Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi.

Afrika haihitaji hiyo demokrasia kwa sasa naimani kama demokrasia inamaana ya wanasiasa wa Afrika wanavyoitafasiri basi waitishe kura za maoni kupitia utafiti wa wazi kwa nchi za Afrika wakihoji je wananchi wanataka mfumo upi wa utawala wa kijeshi au wanasiasa i.e:demokrasia?

Kwa upande wangu naamini utawala wa kijeshi utashinda kwa uhakika kwa sasa
Malighafi,malighafi,malighafi,malighafi.
 
Ni nchi zipi zinazotawaliwa kijeshi au kifalme zina shida ukilinganisha na nchi zinazotawaliwa kidemokrasia?
Uganda kwa miaka 40 sasa imetoka utawala wa kijeshi kwenda kiraia chini ya kiongozi yuleyule aliyevua gwanda

Rwanda,

Hata kule Guinea ya akina Engoga😍

Ni mifano michache

Hakuna mapya wamefanya zaidi ya kuongeza ugumu wa maisha na kutengeneza utawala wa kifalme usio na tija.
 
Unaweza kuilinganisha Rwanda na tanzania kimaendeleo au umechanganyikiwa ubongo?

Nchi nyingi Afrika serikali zake zimeshika jeshi hivyo siyo rahisi kwa uongozi wa kijeshi kuingia madarakani katika nchi nyingi za Afrika kwani wanasiasa waliowengi na wezi wanalinda maslahi yao kupitia jeshi.

Acha ujinga hakuna kitu kama demokrasi ulimwenguni
 
Swali la kale sana ambalo limejibiwa na kutolewa ufafanuzi for decades. It doesn't add anything new to human knowledge anymore.
 
Pamoja na yote hayo! USA ndio nchi pekee duniani inayoleta usawa, bila USA, dunia ingekuwa uwanja wa vita kuzidi hivi sasa na vita hizo zingeongozwa na nchi za kigaidi (Kiislamu)
Umetumia kiungo gani kufikiria mpaka umefikia hii conclusion?
 
Unaweza kuilinganisha Rwanda na tanzania kimaendeleo au umechanganyikiwa ubongo?
Kwahiyo ulivyo mjinga unalinganisha maendeleo ya Tanzania na mkoa wa Rwanda. Kwa akili yako ndogo ulishaeahi kufika hata Rusumo.

Fikiria kabla ya kunena. Wenye akili timamu hata wakiingia toilet huachia kwa stepu, mkojo kwanza kisha kubwa, sio unaachia yote kwa pamoja. Hebu rudia kusoma ujinga ulioandika.
Acha ujinga hakuna kitu kama demokrasi ulimwenguni
Hakuna unachojua zaidi ya huo ujinga unaojaribu kuutetea kwa kuulazimisha uwe werevu.

Tembea duniani sio unasikiliza stori za vijiwe vya kahawa huku ukisubiri wagombea ubunge na udiwani wawasili wawape ofa ya alikasusi, gahawa na kashata. Jinga kabisa
 
Unaweza kuilinganisha Rwanda na tanzania kimaendeleo au umechanganyikiwa ubongo?

Nchi nyingi Afrika serikali zake zimeshika jeshi hivyo siyo rahisi kwa uongozi wa kijeshi kuingia madarakani katika nchi nyingi za Afrika kwani wanasiasa waliowengi na wezi wanalinda maslahi yao kupitia jeshi.

Acha ujinga hakuna kitu kama demokrasi ulimwenguni
Hujui hata unachoongea ni nini
 
Back
Top Bottom