Hivi demokrasia ni Marekani kuzivamia Iraq, Libya, Kongo, Afganstan, Vietinam, nk??

Hivi demokrasia ni Marekani kuzivamia Iraq, Libya, Kongo, Afganstan, Vietinam, nk??

Hujui hata unachoongea ni nini

Demokrasia ya nchi za Magharibi sio nzuri kwa Afrika nchi nyingi barani Afrika zinataka kuunda vyama vya siasa kutoka makabila mengi kusababisha shida zaidi ukilinganisha na nchi za maharibi mfano USA wana vyama viwili tu lakini TZ na nchi nyinginezo zinavyama luki.

Demokrasia ni mbinu mpya ya "divide and rule" ambayo Waafrika bado hawajausitukia kwani inawagawa na kupunguza nguvu ya kupania haki zao za msingi.
 
Kwahiyo ulivyo mjinga unalinganisha maendeleo ya Tanzania na mkoa wa Rwanda. Kwa akili yako ndogo ulishaeahi kufika hata Rusumo.

Fikiria kabla ya kunena. Wenye akili timamu hata wakiingia toilet huachia kwa stepu, mkojo kwanza kisha kubwa, sio unaachia yote kwa pamoja. Hebu rudia kusoma ujinga ulioandika.
Hakuna unachojua zaidi ya huo ujinga unaojaribu kuutetea kwa kuulazimisha uwe werevu.

Tembea duniani sio unasikiliza stori za vijiwe vya kahawa huku ukisubiri wagombea ubunge na udiwani wawasili wawape ofa ya alikasusi, gahawa na kashata. Jinga kabisa
Hivi unadhani kutembea duniani ndiyo kuwa na akili au kutakuindolea ujinga wako?

Siyo kila utakachokutana nacho duniani kina faida kwako,wewe ni wale mnaokuna na ushenzi huko halafu mnauleta Afrika i.e:ushoga,ujinga wako au welevu wako huwezi kuupima wewe mwenyewe kwa maslahi yako bali unapimwa na wanaokuzunguka kwa maslahi ya wote.

Jitafakari siyo kila kinacholetwa humu lazima uchangie
 
Kwahiyo ulivyo mjinga unalinganisha maendeleo ya Tanzania na mkoa wa Rwanda. Kwa akili yako ndogo ulishaeahi kufika hata Rusumo.

Fikiria kabla ya kunena. Wenye akili timamu hata wakiingia toilet huachia kwa stepu, mkojo kwanza kisha kubwa, sio unaachia yote kwa pamoja. Hebu rudia kusoma ujinga ulioandika.
Hakuna unachojua zaidi ya huo ujinga unaojaribu kuutetea kwa kuulazimisha uwe werevu.

Tembea duniani sio unasikiliza stori za vijiwe vya kahawa huku ukisubiri wagombea ubunge na udiwani wawasili wawape ofa ya alikasusi, gahawa na kashata. Jinga kabisa
Mtu hupimwa kwa utambulisho wake hiyo alama uliyoweka kwenye status yako tu tayari inaonesha jinsi ulivyo jinga na kitawaliwa na vya kuja hivyo tuache jamii na mida vituhukumu
 
Uganda kwa miaka 40 sasa imetoka utawala wa kijeshi kwenda kiraia chini ya kiongozi yuleyule aliyevua gwanda

Rwanda,

Hata kule Guinea ya akina Engoga😍

Ni mifano michache

Hakuna mapya wamefanya zaidi ya kuongeza ugumu wa maisha na kutengeneza utawala wa kifalme usio na tija.
Demokrasia imeleta mapya gani Afrika labda?kabla ya ukoloni ke Waasisi wetu waliishi kwa misingi ya demokrasia au jeshi?

Changanya na za kwako domokrasia ni kupiga kelele tu na haiwasaidii Waafrika bali nchi za Magharibi ndizo zinafaidika kupitia domokrasia.

Marekani ina vyama viwili ru vya siasa ninyi Afrika kila nchi ina mavyama lukuki yanayopingana muda wote badala ya kuweka nguvu pamoja na kuwa na chama kimoja cha upinzani kilicho na staha.

Wazungu wanatumia domokrasia kuwagawa Waafrika kama walivyotumia dini ambapo Waafrika walipaswa kuwa na dini moja yenye Mungu mmoja.
 
Demokrasia ni kashfa ya Magharibi iliyoletwa Afrika kwa faida yao. Ikiwa haukubaliani nami kwanini Mazi Nnamdi Kanu na pasipoti ya Uingereza bado yuko gerezani baada ya kutekwa nyara kutoka Kenya kwenda Nigeria? Je! Kwanini Waingereza wako kimya juu ya kizuizi chake?je kuna demokrasia hapo.

Demokrasia haiwezi onekana Afrika na siyo kutoonekana tu bali hata kutendeka hakupo
 
Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni.
Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi.

Afrika haihitaji hiyo demokrasia kwa sasa naimani kama demokrasia inamaana ya wanasiasa wa Afrika wanavyoitafasiri basi waitishe kura za maoni kupitia utafiti wa wazi kwa nchi za Afrika wakihoji je wananchi wanataka mfumo upi wa utawala wa kijeshi au wanasiasa i.e:demokrasia?

Kwa upande wangu naamini utawala wa kijeshi utashinda kwa uhakika kwa sasa
Congo imevamiwa na Rwanda.
Au unamuogopa Kagame kum-point???
 
Back
Top Bottom