HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Nahisi ww ufikiri wako upo chini ya nyayo ni mjinga kupita kiasi we chaliiPamoja na yote hayo! USA ndio nchi pekee duniani inayoleta usawa, bila USA, dunia ingekuwa uwanja wa vita kuzidi hivi sasa na vita hizo zingeongozwa na nchi za kigaidi (Kiislamu)
Nyie magaidi hamuwezi kunielewa.Nahisi ww ufikiri wako upo chini ya nyayo ni mjinga kupita kiasi we chalii
Ww ni mjinga uliotopeaNyie magaidi hamuwezi kunielewa.
Nyie Waislamu magaidi lazima mnyooshwe vyemaWw ni mjinga uliotopea
Japo nakubaliana na wewe nusu kwamba Demokrasia kwa Afrika bado ni shida. Lakini pia utawala wa kijeshi ni janga kubwa zaidi. Ni nchi chache zilizotawaliwa kijeshi zimefanya vyema.Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni.
Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi.
Afrika haihitaji hiyo demokrasia kwa sasa naimani kama demokrasia inamaana ya wanasiasa wa Afrika wanavyoitafasiri basi waitishe kura za maoni kupitia utafiti wa wazi kwa nchi za Afrika wakihoji je wananchi wanataka mfumo upi wa utawala wa kijeshi au wanasiasa i.e:demokrasia?
Kwa upande wangu naamini utawala wa kijeshi utashinda kwa uhakika kwa sasa
Ni nchi zipi zinazotawaliwa kijeshi au kifalme zina shida ukilinganisha na nchi zinazotawaliwa kidemokrasia?Japo nakubaliana na wewe nusu kwamba Demokrasia kwa Afrika bado ni shida. Lakini pia utawala wa kijeshi ni janga kubwa zaidi. Ni nchi chache zilizotawaliwa kijeshi zimefanya vyema.
Ila pia kwahiyo tafsiri yako ya Demokrasia inabidi tu tukupeleke VETA hakuna namna. Hata kama ni kwa lazima🤣
Malighafi,malighafi,malighafi,malighafi.Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni.
Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi.
Afrika haihitaji hiyo demokrasia kwa sasa naimani kama demokrasia inamaana ya wanasiasa wa Afrika wanavyoitafasiri basi waitishe kura za maoni kupitia utafiti wa wazi kwa nchi za Afrika wakihoji je wananchi wanataka mfumo upi wa utawala wa kijeshi au wanasiasa i.e:demokrasia?
Kwa upande wangu naamini utawala wa kijeshi utashinda kwa uhakika kwa sasa
Mbaga kashazoea kupigwa ban sass huyu jamaa mamods sasa mpumzisheni mwanetuNyie Waislamu magaidi lazima mnyooshwe vyema
Kwa nini unasema hivyo kwa jamaa?Nahisi ww ufikiri wako upo chini ya nyayo ni mjinga kupita kiasi we chalii
Uganda kwa miaka 40 sasa imetoka utawala wa kijeshi kwenda kiraia chini ya kiongozi yuleyule aliyevua gwandaNi nchi zipi zinazotawaliwa kijeshi au kifalme zina shida ukilinganisha na nchi zinazotawaliwa kidemokrasia?
Inasikitisha sana mkuu 😂Mbaga kashazoea kupigwa ban sass huyu jamaa mamods sasa mpumzisheni mwanetu
Unaweza kuilinganisha Rwanda na tanzania kimaendeleo au umechanganyikiwa ubongo?Uganda kwa miaka 40 sasa imetoka utawala wa kijeshi kwenda kiraia chini ya kiongozi yuleyule aliyevua gwanda
Rwanda,
Hata kule Guinea ya akina Engoga😍
Ni mifano michache
Hakuna mapya wamefanya zaidi ya kuongeza ugumu wa maisha na kutengeneza utawala wa kifalme usio na tija.
Umetumia kiungo gani kufikiria mpaka umefikia hii conclusion?Pamoja na yote hayo! USA ndio nchi pekee duniani inayoleta usawa, bila USA, dunia ingekuwa uwanja wa vita kuzidi hivi sasa na vita hizo zingeongozwa na nchi za kigaidi (Kiislamu)
Nimetumia begaUmetumia kiungo gani kufikiria mpaka umefikia hii conclusion?
Kwahiyo ulivyo mjinga unalinganisha maendeleo ya Tanzania na mkoa wa Rwanda. Kwa akili yako ndogo ulishaeahi kufika hata Rusumo.Unaweza kuilinganisha Rwanda na tanzania kimaendeleo au umechanganyikiwa ubongo?
Hakuna unachojua zaidi ya huo ujinga unaojaribu kuutetea kwa kuulazimisha uwe werevu.Acha ujinga hakuna kitu kama demokrasi ulimwenguni
Hujui hata unachoongea ni niniUnaweza kuilinganisha Rwanda na tanzania kimaendeleo au umechanganyikiwa ubongo?
Nchi nyingi Afrika serikali zake zimeshika jeshi hivyo siyo rahisi kwa uongozi wa kijeshi kuingia madarakani katika nchi nyingi za Afrika kwani wanasiasa waliowengi na wezi wanalinda maslahi yao kupitia jeshi.
Acha ujinga hakuna kitu kama demokrasi ulimwenguni