HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
-
- #21
Hujui hata unachoongea ni nini
Hivi unadhani kutembea duniani ndiyo kuwa na akili au kutakuindolea ujinga wako?Kwahiyo ulivyo mjinga unalinganisha maendeleo ya Tanzania na mkoa wa Rwanda. Kwa akili yako ndogo ulishaeahi kufika hata Rusumo.
Fikiria kabla ya kunena. Wenye akili timamu hata wakiingia toilet huachia kwa stepu, mkojo kwanza kisha kubwa, sio unaachia yote kwa pamoja. Hebu rudia kusoma ujinga ulioandika.
Hakuna unachojua zaidi ya huo ujinga unaojaribu kuutetea kwa kuulazimisha uwe werevu.
Tembea duniani sio unasikiliza stori za vijiwe vya kahawa huku ukisubiri wagombea ubunge na udiwani wawasili wawape ofa ya alikasusi, gahawa na kashata. Jinga kabisa
Yaani jinga la kiwango cha degreeNahisi ww ufikiri wako upo chini ya nyayo ni mjinga kupita kiasi we chalii
Mtu hupimwa kwa utambulisho wake hiyo alama uliyoweka kwenye status yako tu tayari inaonesha jinsi ulivyo jinga na kitawaliwa na vya kuja hivyo tuache jamii na mida vituhukumuKwahiyo ulivyo mjinga unalinganisha maendeleo ya Tanzania na mkoa wa Rwanda. Kwa akili yako ndogo ulishaeahi kufika hata Rusumo.
Fikiria kabla ya kunena. Wenye akili timamu hata wakiingia toilet huachia kwa stepu, mkojo kwanza kisha kubwa, sio unaachia yote kwa pamoja. Hebu rudia kusoma ujinga ulioandika.
Hakuna unachojua zaidi ya huo ujinga unaojaribu kuutetea kwa kuulazimisha uwe werevu.
Tembea duniani sio unasikiliza stori za vijiwe vya kahawa huku ukisubiri wagombea ubunge na udiwani wawasili wawape ofa ya alikasusi, gahawa na kashata. Jinga kabisa
Demokrasia imeleta mapya gani Afrika labda?kabla ya ukoloni ke Waasisi wetu waliishi kwa misingi ya demokrasia au jeshi?Uganda kwa miaka 40 sasa imetoka utawala wa kijeshi kwenda kiraia chini ya kiongozi yuleyule aliyevua gwanda
Rwanda,
Hata kule Guinea ya akina Engoga😍
Ni mifano michache
Hakuna mapya wamefanya zaidi ya kuongeza ugumu wa maisha na kutengeneza utawala wa kifalme usio na tija.
Congo imevamiwa na Rwanda.Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni.
Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi.
Afrika haihitaji hiyo demokrasia kwa sasa naimani kama demokrasia inamaana ya wanasiasa wa Afrika wanavyoitafasiri basi waitishe kura za maoni kupitia utafiti wa wazi kwa nchi za Afrika wakihoji je wananchi wanataka mfumo upi wa utawala wa kijeshi au wanasiasa i.e:demokrasia?
Kwa upande wangu naamini utawala wa kijeshi utashinda kwa uhakika kwa sasa