Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Ccm ni AuthoritarianismHii inatukumbusha kwamba tz is still a communist state.
Walienda machimboni bila kuaga?Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena.
Je ndio washamalizana na Soka?
Pia soma
Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja
Inaumiza aisee!! Mdude awe makiniSoka ,dogo aliyechoma picha yake yenye image inayotaka kufanana na SSH wote hao washamalizwa kama alivyomalizwa Ben saanane.
Inasikitisha sana kutoa uhai wa mtu kisa tu umetofautiana naye mtazamo.
Wanamnyatia nyatia kwa nyuma mkumbushe na yule bwana matusi kule X awamu hii kaja na matusi mapya mapyaInaumiza aisee!! Mdude awe makini
Yupo nasikia hayupo nchiniWanamnyatia nyatia kwa nyuma mkumbushe na yule bwana matusi kule X awamu hii kaja na matusi mapya mapya
Wewe na nani?TUPUNGUZE UJUAJI NA KUTUMIKA KAMA LESO
Mimi na wajuaji wengine wengi ukiwemo na weweWewe na nani?
Ni kama Sativa tu ambaye alisalimika kwa muujiza, maana walimpiga risasi akazimia halafu wakamtelekeza ndani ya msitu wenye wanyama wakali kama fisi, simba, chui, mamba, nk..Cha kujiuliza ni kwamba soka,Ben saanane walikua wamebeba Siri Gani kubwa Hadi wapotee bila KESI ya mahakamani!!!?
Yaani kwanini washughulikiwe kimafia vile bila Sheria kuchukua mkondo wake!!?he kosa lao ni la kihaini!!?au kuhatarisha usalama was jamhuri!!?
Haya ni baadhi ya maswali ya wanajamhuri huwa tunajiuliza pia!
Kakimbilia KenyaYupo nasikia hayupo nchini
Punguza shoboMimi na wajuaji wengine wengi ukiwemo na wewe