ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nani anaefaidika? Umewahi niona nashadidia ujamaa?Magenge wenzake kama hao wa leo ndio wanamwita hivyo.
Lakini Choice mnafaidika nini mtu akifa?
Nyie washaniki wa kina Lisu and co unadhani mkishika Dola Kwa bahati mbaya mtawafanya nini Wapinzani wenu Kwa hizo itikadi zenu za kipuuzi?
Mwisho wanasema.mdomo Huwa unaponza mwili,kama huna Nguvu chunga mdomo wako.