Hivi Deusdedith Soka ndio amezimwa kama alivyozimwa Ben Saanane?

Hivi Deusdedith Soka ndio amezimwa kama alivyozimwa Ben Saanane?

Soka ,dogo aliyechoma picha yake yenye image inayotaka kufanana na SSH wote hao washamalizwa kama alivyomalizwa Ben saanane.

Inasikitisha sana kutoa uhai wa mtu kisa tu umetofautiana naye mtazamo.
🤔🤔
 
Nchi hii kuna mikono inanuka sana damu!
Ila wakumbuke maneno ya Mwenyezi Mungu "damu ya ndugu yako inanililia toka mavumbini"
Hivyo wanatakiwa kutambua kuwa damu hizi zinazomwaga zinalia na kuomboleza, Ole wenu ninyi na vizazi vya watoto wenu enyi mliomwaga damu za hawa binadamu waliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu
 
Cha kujiuliza ni kwamba soka,Ben saanane walikua wamebeba Siri Gani kubwa Hadi wapotee bila KESI ya mahakamani!!!?

Yaani kwanini washughulikiwe kimafia vile bila Sheria kuchukua mkondo wake!!?he kosa lao ni la kihaini!!?au kuhatarisha usalama was jamhuri!!?

Haya ni baadhi ya maswali ya wanajamhuri huwa tunajiuliza pia!
Mara zote hua nasema ukianza uanaharakati katika siasa za nchi yoyote na ukaanza kupata pesa kupitia uanaharakati wako jua tayar wewe ni target.... Pesa chafu ni nyingi sana upande huo na huambatana na jumbe za uhaini
 
Nimefanya tafakauri sana leo kuhusu huyu bwana mdogo na wenzake, nina asilimia nyingi hayuko hai tena kama Ben Saanane.

Kwakuwa jinai haifi ipo siku ukweli utajulikana.
 
Kiti kimepita nae chini ya SITII.
Sijui kwann Albadili na waganga hawakusaidia kijana wetu arudi salama
 
Back
Top Bottom