Hivi Deusdedith Soka ndio amezimwa kama alivyozimwa Ben Saanane?

Kiti kimepita nae chini ya SITII.
Sijui kwann Albadili na waganga hawakusaidia kijana wetu arudi salama
Waganga na wachawi ni scam.

Wanajitapa wana uwezo wa kufanya maajabu harafu wanashindwa vitu vya kawaida.
 
Kweli kabisa.

Ndo mana Mwamposa alimfufua yule mtoto ila akaenda kumzika Daktari Ndugulile
 
Cha kujiuliza ni kwamba soka,Ben saanane walikua wamebeba Siri Gani kubwa Hadi wapotee bila KESI ya mahakamani!!!?

Yaani kwanini washughulikiwe kimafia vile bila Sheria kuchukua mkondo wake!!?he kosa lao ni la kihaini!!?au kuhatarisha usalama was jamhuri!!?

Haya ni baadhi ya maswali ya wanajamhuri huwa tunajiuliza pia!
Ni mkakati wa dola kuwatisha vijana kuacha kuipinga serekal na kuingia kwenye siasa,

Lakini tumeshtushwa na Habari kuwa aliyetoa Habari rushwa ya abdul ndani ya cdm ni marehemu

Pia Kuna connection ya Siri kati ya dola na cdm inayowapoteza wanaharakati
 
Huwa siamini kama thestate Huwa inahusika na haya makitu!
Mbona wanaweka wazi kabisa kwamba wao wapo loyal Kwa taifa hawana feelings towards individual!!?

Na kwanini wanaruhusu haha kutokea!!?

From Rwenkorongo huku najiuliza!!
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom