Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond nihawajielewi.
Tanzania To Lagos,
I go make you famous.
Aibu sana kwa taifa. Au Diamond alimwambia nikifanya kolabo na wewe nitakuwa maharufu.
I go make you famous " hapa anamwambia demu huyo 'namba one' wao na si diamond
...
I go make you famous " hapa anamwambia demu huyo 'namba one' wao na si diamond
...
watanzania bwana sasa ww mtoa uzi kabla ujaandika uzi wako umejua maudhui ya wimbo?au unaropokatu..ngoha nikusaidie nyimbo inasena my number one that means kuna mtu anaimbwa kwenye iyo nyimbo..
siyo nyimbo, ni wimbo mkuu.
well said mkuu huyo mleta mada ndio hakijui kiingereza bora ungepiga kimya badala ya kumwaibisha mond umejiaibisha wewe. shame on uwatanzania bwana sasa ww mtoa uzi kabla ujaandika uzi wako umejua maudhui ya wimbo?au unaropokatu..ngoha nikusaidie nyimbo inasena my number one that means kuna mtu anaimbwa kwenye iyo nyimbo..ukirudi kwenye verse ya davido also yale maneno anamwambia yule number one..sasa iyo concept kuelewa unaitaji kuwa form 6?..