Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What I know music is like poetry. One is free to break the rules of dat particulrar language. Aweze kuleta hisia. Its like literature. Remember the novel BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN and many others
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.
Tanzania To Lagos,
I go make you famous.
Aibu sana kwa taifa. Au Diamond alimwambia nikifanya kolabo na wewe nitakuwa maarufu.
Sio hadithi ile bali ni mashairi... jaribu wewe mwenyewe uimbe Tanzania to Nigeria uone ladha yake unless ubadilishe isiwe tena " I go make you famous!"Heri angesema Tanzania to Nigeria,yani to lagos
Bado hadi leo kuna watu wanaonea ufahari kujua Kiingereza kizuri kiasi cha kuona mapoyoyo wale wasiokijua!! Hizi lugha za kwenye sanaa waachieni wenye sanaa yao coz' kuna watu wanafahamu standard english kuliko wewe lakini linapokuja suala la sanaa, hicho kizungu standard kinabanangwa ili kukidhi haja... haijalishi iwe ni kwenye ushairi, riwaya, tamthilia au hata kama ni uandishi wa screenplays.kwako wewe hiki ni kingereza kizuri sana si ndio?..kama ndo hivyo basi wewe na huyo davido ndio mapayoyo wa kwanza!
What I know music is like poetry. One is free to break the rules of dat particulrar language. Aweze kuleta hisia. Its like literature. Remember the novel BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN and many others
You're all very right... ndo maana kuna watu humu nimewambia haya mambo ya sanaa waachieni wanasanaa!THAT's known as POETIC LICENCE..The freedom a poet/poetess has,to break some rules so as to convey the intended message to the audience/readers wakati kwenye NOVEL haitaitwa tena hivo...kwa mfano kwenye hicho kitabu hiyo inaitwa
Dah tangia niingie jf sijawah kukutana na watu wenye akili finyu kama mleta uzi na walikaa chini na kujiunga na mleta uzi.....dah noma kweli yan.....
tupo na hatutaondoka endelea kuandika menopause zakoMadhara ya kukariri mistari badala ya kusoma. Madiamond wapo wengi sana.