Hivi Diamond Platumz hajui kingereza au alijitoa ufahamu tu?

wewe mtoa mada ndo POYOYO,,
UNAJITOA UELEWA, KWAMBA HUJUI NAFASI YA DAVIDO AFRICA..!!?

USELESS THREAD.
 
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.

Tanzania To Lagos,
I go make you famous.

Aibu sana kwa taifa. Au Diamond alimwambia nikifanya kolabo na wewe nitakuwa maarufu.

mkuu kapitie english course jamaa hapo walikua wanamzungumzia huyo dem a.k.a number one kapitie grammer
 
Kwa hiyo huyo Number 1 alitoka Tanzania to lagos. Kweli hii inchi ina wendawazimu wengi
 
mleta mada daah, msameheni bure jamani, si mnajua tena wale devisheni five tunao humu ndani 24/7 kwanza tumpongeze, kwa divisheni five nae kujaribu kuleta uzi jf si kazi ndogo, ameonesha uelewa wake, makofi kwakeeeee!!
 
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.

Tanzania To Lagos,
I go make you famous.

Aibu sana kwa taifa. Au Diamond alimwambia nikifanya kolabo na wewe nitakuwa maarufu.

Acha ufala. ...Davido talks about this woman kwamba ni mtanzania na atampa umaarufu Kwa kuwa naye. .#Get a grip
 
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.

Tanzania To Lagos,
I go make you famous.

Aibu sana kwa taifa. Au Diamond alimwambia nikifanya kolabo na wewe nitakuwa maarufu.

Ivi kwanini watu wengine wanakua na Wivu usojificha? kwani Diamond kutojua kizungu ni jambo kubwa sana Ma raisi wa nchi nyingi hawajua kizungu na wanaendesha nchi seuze yeye Diamond? wangapi wanajua kizungu wananini?au wamefika wapi kimaisha? nadhani cha msingi nikumshauri aende kujifunza pole pole lakini isiwe kumuonyeshea vidole mkasema mpaka mate yakawakauka..............Alie pewa kapewa..........
 
Kapewa nini??? Zitamfikisha wapi??? Wema na makahaba wengine mbona hawamzalii mtoto??? Wanamfilisi pesa tu.

Kingereza alichotumia Davido Diamond alikielewa ila kwa nini alikosa kutojiamini na kumruhusu davido atumie kipande hicho kumfanya poyoyo.

Diamond kwa mafanikio yake, ni muda wake wa kwenda shule. Pesa bila akili ni sawa na mali bila daftari.
 
Kama kaambiwa Diamond pia si shida kwasababu ni ukweli.

Ila nilivyoelewa mimi, msichana aliyeimbwa (the no. 1) ndiye was to be made famous!
 
Kwa hiyo huyo Number 1 alitoka Tanzania to lagos. Kweli hii inchi ina wendawazimu wengi

Yaani wewe una mtindio wa ubongo kabisaaaaa.....Hivi unaelewa japo kidogo kuhusu lugha ya ushairi!!
Fame aliyonayo Dav Lagos akimpenda msichana wa Kibongo, Dar na Lagos yote itamjua huyo msichana sio lazima aende Nigeria.....hata akimtia kidole.
 
Kapewa nini??? Zitamfikisha wapi??? Wema na makahaba wengine mbona hawamzalii mtoto??? Wanamfilisi pesa tu.

Kingereza alichotumia Davido Diamond alikielewa ila kwa nini alikosa kutojiamini na kumruhusu davido atumie kipande hicho kumfanya poyoyo.

Diamond kwa mafanikio yake, ni muda wake wa kwenda shule. Pesa bila akili ni sawa na mali bila daftari.

Kwani kiingereza ndo kipimo cha akili???
 
Kapewa nini??? Zitamfikisha wapi??? Wema na makahaba wengine mbona hawamzalii mtoto??? Wanamfilisi pesa tu.

Kingereza alichotumia Davido Diamond alikielewa ila kwa nini alikosa kutojiamini na kumruhusu davido atumie kipande hicho kumfanya poyoyo.

Diamond kwa mafanikio yake, ni muda wake wa kwenda shule. Pesa bila akili ni sawa na mali bila daftari.

wewe ndio unatakiwa uende shule wa kwanza, ukirudi sasa ndio utaelewa kipande cha davido kilikuwa kinamaanisha nini. mpaka wewe ndio poyoyo first class
 
Kwa hiyo huyo Number 1 alitoka Tanzania to lagos. Kweli hii inchi ina wendawazimu wengi

hahahahahahahahaaa OMGGGG!!!!!!! with all the confidence u dare to expose u a extrimely ignorance???? so hi verse ya from tz to lagos imekuvuruga vuluvulu kiasi kwanza huelewi kabisa maudhui ya wimbo tena?? ugonjwa ulionao hauna tiba, zaidi ya POLE*800000........
 
Japo mtoa mada haikuhusu sana kwa Diamond kujua au kutokujua English ila nimegundua mashabiki wa Diamond wataua mtu hapa hahaaa wanahasira mbaya kabisa.
 
hahahahahahahahaaa OMGGGG!!!!!!! with all the confidence u dare to expose u a extrimely ignorance???? so hi verse ya from tz to lagos imekuvuruga vuluvulu kiasi kwanza huelewi kabisa maudhui ya wimbo tena?? ugonjwa ulionao hauna tiba, zaidi ya POLE*800000........
Ha ha ha! Kibongo bongo hii.
 
wewe ndio unatakiwa uende shule wa kwanza, ukirudi sasa ndio utaelewa kipande cha davido kilikuwa kinamaanisha nini. mpaka wewe ndio poyoyo first class

Madhara ya kukariri mistari badala ya kusoma. Madiamond wapo wengi sana.
 
Back
Top Bottom