Kweli ujinga mzigo!
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.
Tanzania To Lagos,
I go make you famous.
Aibu sana kwa taifa. Au Diamond alimwambia nikifanya kolabo na wewe nitakuwa maarufu.
Acha ufala. ...Davido talks about this woman kwamba ni mtanzania na atampa umaarufu Kwa kuwa naye. .#Get a gripAliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.
Tanzania To Lagos,
I go make you famous.
Aibu sana kwa taifa. Au Diamond alimwambia nikifanya kolabo na wewe nitakuwa maarufu.
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.
Tanzania To Lagos,
I go make you famous.
Aibu sana kwa taifa. Au Diamond alimwambia nikifanya kolabo na wewe nitakuwa maarufu.
Ivi kwanini watu wengine wanakua na Wivu usojificha? kwani Diamond kutojua kizungu ni jambo kubwa sana Ma raisi wa nchi nyingi hawajua kizungu na wanaendesha nchi seuze yeye Diamond? wangapi wanajua kizungu wananini?au wamefika wapi kimaisha? nadhani cha msingi nikumshauri aende kujifunza pole pole lakini isiwe kumuonyeshea vidole mkasema mpaka mate yakawakauka..............Alie pewa kapewa..........
Kwa hiyo huyo Number 1 alitoka Tanzania to lagos. Kweli hii inchi ina wendawazimu wengi
Kapewa nini??? Zitamfikisha wapi??? Wema na makahaba wengine mbona hawamzalii mtoto??? Wanamfilisi pesa tu.
Kingereza alichotumia Davido Diamond alikielewa ila kwa nini alikosa kutojiamini na kumruhusu davido atumie kipande hicho kumfanya poyoyo.
Diamond kwa mafanikio yake, ni muda wake wa kwenda shule. Pesa bila akili ni sawa na mali bila daftari.

Ha ha ha! Kibongo bongo hii.hahahahahahahahaaa OMGGGG!!!!!!! with all the confidence u dare to expose u a extrimely ignorance???? so hi verse ya from tz to lagos imekuvuruga vuluvulu kiasi kwanza huelewi kabisa maudhui ya wimbo tena?? ugonjwa ulionao hauna tiba, zaidi ya POLE*800000........