Hivi Diamond Platumz hajui kingereza au alijitoa ufahamu tu?

What I know music is like poetry. One is free to break the rules of dat particulrar language. Aweze kuleta hisia. Its like literature. Remember the novel BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN and many others
 
THAT's known as POETIC LICENCE..The freedom a poet/poetess has,to break some rules so as to convey the intended message to the audience/readers wakati kwenye NOVEL haitaitwa tena hivo...kwa mfano kwenye hicho kitabu hiyo inaitwa
 
kwako wewe hiki ni kingereza kizuri sana si ndio?..kama ndo hivyo basi wewe na huyo davido ndio mapayoyo wa kwanza!
 
Nyie kweli mnachekesha mwenzenu ni bilionea nyie mnasema hajui kiingilishi. Nyie mnaojua English-speaking semeni mna nini.
 
kwako wewe hiki ni kingereza kizuri sana si ndio?..kama ndo hivyo basi wewe na huyo davido ndio mapayoyo wa kwanza!
Bado hadi leo kuna watu wanaonea ufahari kujua Kiingereza kizuri kiasi cha kuona mapoyoyo wale wasiokijua!! Hizi lugha za kwenye sanaa waachieni wenye sanaa yao coz' kuna watu wanafahamu standard english kuliko wewe lakini linapokuja suala la sanaa, hicho kizungu standard kinabanangwa ili kukidhi haja... haijalishi iwe ni kwenye ushairi, riwaya, tamthilia au hata kama ni uandishi wa screenplays.
 
What I know music is like poetry. One is free to break the rules of dat particulrar language. Aweze kuleta hisia. Its like literature. Remember the novel BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN and many others
THAT's known as POETIC LICENCE..The freedom a poet/poetess has,to break some rules so as to convey the intended message to the audience/readers wakati kwenye NOVEL haitaitwa tena hivo...kwa mfano kwenye hicho kitabu hiyo inaitwa
You're all very right... ndo maana kuna watu humu nimewambia haya mambo ya sanaa waachieni wanasanaa!
 
Dah tangia niingie jf sijawah kukutana na watu wenye akili finyu kama mleta uzi na walikaa chini na kujiunga na mleta uzi.....dah noma kweli yan.....
 
Wewe rais wa wapuuzi bongo nzima. Acha mahaba niue mpaka unamtetea mtu aliyetudharaulisha.
 
Na wewe included i forgot....lols!katudhalilisha nn hapo....the song inamuhusu msichana ndo atamtoa tanzania to lagos na kumfanya awe famous.....now wat dd diamond somhow disrespects us hapo.....smh
 
Mimi ninavyojua nyimbo sio lazima ziwe na lugha iliyonyooka, lengo ni kuburudisha.
Angekuwa anaandika kitabu hapo kweli tungekuwa na haki ya kuhoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…