Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kawaida anacheza na watoto!kawaida tu mbona...
Lana inamzungukaJana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea.
Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza mdomoni kamguu ka mtoto mchanga!
Huyu babu akili zake anazijua mwenyewe 🤣.
Tuanze na picha mgando.
View attachment 3139847
View attachment 3139848
Tumalizie na video.
View: https://youtu.be/fCs5eYO_R1Q?si=rB5GCldhgGZE2Aon
Trump akifika umri wa Joe atafanya vituko zaidi.Jana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea.
Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza mdomoni kamguu ka mtoto mchanga!
Huyu babu akili zake anazijua mwenyewe 🤣.
Tuanze na picha mgando.
View attachment 3139847
View attachment 3139848
Tumalizie na video.
View: https://youtu.be/fCs5eYO_R1Q?si=rB5GCldhgGZE2Aon
Daah hi imenistua sana aiseeeKuweni makini asije akaondoka na GUU LA MTOTO.
Ukianza kuzeeka unageuka kuwa KIGAGULA unaanza kutamani minofu ya binadamu.
Ndio zile stori za shinyanga unasikia BIBI KIZEE kanyukwa mapanga kwa tuhuma za uchawi.
Wanakulaga nyama za watu wale. Hasa Albino.
Natoa rai kwa diaspora...Lindeni miguu ya watoto wenyu.
Cc: Lloyd Munroe Mbaga Jr Poor Brain Kapeace Lamomy
Ni celebration of samhain,sio kila saa utegemee awe serious.Kawaida anacheza na watoto!
Na yote tumwachie mwenyeweHuyu babu akili zake anazijua mwenyewe
VampireJana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea.
Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza mdomoni kamguu ka mtoto mchanga!
Huyu babu akili zake anazijua mwenyewe 🤣.
Tuanze na picha mgando.
View attachment 3139847
View attachment 3139848
Tumalizie na video.
View: https://youtu.be/fCs5eYO_R1Q?si=rB5GCldhgGZE2Aon
Ukizeeka akili zinarudi utotoJana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea.
Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza mdomoni kamguu ka mtoto mchanga!
Huyu babu akili zake anazijua mwenyewe 🤣.
Tuanze na picha mgando.
View attachment 3139847
View attachment 3139848
Tumalizie na video.
View: https://youtu.be/fCs5eYO_R1Q?si=rB5GCldhgGZE2Aon
Hata mimi sijaona kitu cha ajabu hapo!kawaida tu mbona...