Uchaguzi 2020 Hivi Dkt. Magufuli atasema amefanya nini Bukoba kwa miaka mitano yote siku ya kesho?

Uchaguzi 2020 Hivi Dkt. Magufuli atasema amefanya nini Bukoba kwa miaka mitano yote siku ya kesho?

Ni sawa ni mikoa ya Nyanda za juu Kusini, hakuna cha maana kilichofanyika wakati wake zaidi ya kuua biashara ya mbao na mahindi.
 
Nimemuoa Leo akijikongoja na kuanza kuwasifia wahaya eti wanakula samaki ndo maana Wana akili[emoji23]. Nadhani kuna baadhi ya makabila huyaogopa Tz na yanamtisha.
Kwani mwanza,dar,ntwara,lindi hakuna samaki?
Anajua ukimsifia mhaya ndio furaha yake
 
Ni sawa ni mikoa ya Nyanda za juu Kusini, hakuna cha maana kilichofanyika wakati wake zaidi ya kuua biashara ya mbao na mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule kusini kaua zao lao mama linalo wafanya waishi na sasa huu ni mwaka wa 4 watu wanalia na kusaga meno.
 
Hiv serikali na hao wahaya wako ni Nani mwenye nguvu na mamlaka?

Hiv serikali ilitaka kujenga stendi au soko inashindwaje kupata eneo na kujenga?....

Fuatilia maeneo ya mirad mikubwa yote ilikofanyika lazima mfikishane mahakamani kwanza utafikiri maendeleo sio ya kwao.

Kabila la ajabu Sana hili,mbaya zaidi mikoani mnashindwa Ku-exercise upuuzi wenu inawaladhimu mrudi nyumbani mkwamishane ninyi kwa ninyi.

Wahaya wengi katika utumishi wa umma huomba kurudi kwao kufanyia kazi mwisho wa siku hjikta halmashauri au taasisi nzima ni wao tu fully kuzozana
 
Stendi ya bukoba inazidiwa na Stendi ya halmashauri ya kyela-Mbeya
 
Fuatilia maeneo ya mirad mikubwa yote ilikofanyika lazima mfikishane mahakamani kwanza utafikiri maendeleo sio ya kwao.
Kabila la ajabu Sana hili,mbaya zaidi mikoani mnashindwa Ku-exercise upuuzi wenu inawaladhimu mrudi nyumbani mkwamishane ninyi kwa ninyi.
Wahaya wengi katika utumishi wa umma huomba kurudi kwao kufanyia kazi mwisho wa siku hjikta halmashauri au taasisi nzima ni wao tu fully kuzozana
We ulitakaje Kwa mfano.

Maana sidhan kama hapo bukoba serikali haina maeneo ya kutekeleza miradi yake!!!

Kwamba watu bukoba wanamiliki mpaka barabara na maeneo ya wazi?

Kwamba serikali imeshindwa na watu katika kufanya kazi yake?

Acha kuchanganya chuki zako kwa wahaya na ubaguzi wa serikali ya Tanzania.

Halafu hakuna kabila la ajabu. Kila kabila Lina tamaduni na Sheria zake inahitajika courtesy kubwa ukitaka kukaa katika jamii husika
 
Ihungo sekondari walijenga Waingereza kama msaada baada ya tetemeko, serikali ya ccm mbali ya michango ya raia iseme ilitoa support gani Tzs toka mfuko wa maafa.
 
Mbona hilo swali lipo wazi mkuu? Wewe unadhani atasema nini amewafanyia wana Kagera?
Gharama zilizotumika kufanya ukarabati baada ya tetemeko hazilingani kabisa na kiasi Cha jumla ya pesa zilizochangiwa wahanga bado zingetosha kila Mhanga kupata nyumba ya kisasa kabisa,hivo Ni jukumu la Wana kagera kudai chenji.
 
Daaa aisee inatia simanzi aisee
 
Back
Top Bottom