Mtaji wa kura za CCM ni watu wa vijijini huko kwahiyo CCM itapata kura nyingi vijijin hukoHiv unafikiri TZ nzima ingekuwa wajuaji watupu CCM ingekuwepo Leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaji wa kura za CCM ni watu wa vijijini huko kwahiyo CCM itapata kura nyingi vijijin hukoHiv unafikiri TZ nzima ingekuwa wajuaji watupu CCM ingekuwepo Leo?
Sema mmh! Mkuu hili umeandika ukweli. Kule kwetu kwanza migogoro ya ardhi usiseme. Na hili ni kweli kabisaaaa. Kuna kukwamishana wenyewe sana na mizozano ya kipumbavu sana. Aisee hujadanganya kabisa.Fuatilia maeneo ya mirad mikubwa yote ilikofanyika lazima mfikishane mahakamani kwanza utafikiri maendeleo sio ya kwao.
Kabila la ajabu Sana hili,mbaya zaidi mikoani mnashindwa Ku-exercise upuuzi wenu inawaladhimu mrudi nyumbani mkwamishane ninyi kwa ninyi.
Wahaya wengi katika utumishi wa umma huomba kurudi kwao kufanyia kazi mwisho wa siku hjikta halmashauri au taasisi nzima ni wao tu fully kuzozana