Uchaguzi 2020 Hivi Dkt. Magufuli atasema amefanya nini Bukoba kwa miaka mitano yote siku ya kesho?

Sema mmh! Mkuu hili umeandika ukweli. Kule kwetu kwanza migogoro ya ardhi usiseme. Na hili ni kweli kabisaaaa. Kuna kukwamishana wenyewe sana na mizozano ya kipumbavu sana. Aisee hujadanganya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…