Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Anatia huruma sana,
Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema.
Huenda hawamuamini kabisa.
Facial expressions, tone na body language yake katika ujumla wake vinaonyesha wazi ni mtu dhaifu na mchovu, anaepitia mazingira Fulani magumu kimaisha, na amekata tamaa licha ya kua anajikakamua sana mbele ya halaiki na kujionyesha kwamba hana stress kabisa, ingawa anaonekana wazi kua na changamoto.
Ni muhimu sana huyu mzee akasaidiwa na kusitiriwa kwa namna ya kipekee sana kabla ya kuumbuka na kuadhirika vibaya baadae. Hekima na busara tayari hana tena.
Kupumzika active politics itamsaidia zaidi kuzeeka kwa heshima.🐒
Mungu Ibariki Tanzania