Hivi Dkt. Slaa ni umri ndio umemtupa mkono au siasa ndiyo imeaanza kumkataa rasmi?

Slaa vs. Wassira....

Ungekuwa siyo chawa mwandamizi gentleman ungeniambia objectively ni nani kati ya hawa siasa zimeanza kumkataa rasmi!
andikia uzi mahusus tuone maoni na mawazo ya wadua wa siasa JF wanasemaje gentleman :NoGodNo:
 
Badala ya kumshangaa Wasira unamshangaa Slaa, kweli nyani haoni naniliiu yake 😩
muandikie uzi mahususi tuone maoni ya wadau gentleman, acha kumbwelambwela:pedroP:
 
Anatia huruma sana,

Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema.
Huenda hawamuamini kabisa.

Facial expressions, tone na body language yake katika ujumla wake vinaonyesha wazi ni mtu dhaifu na mchovu, anaepitia mazingira Fulani magumu kimaisha, na amekata tamaa licha ya kua anajikakamua sana mbele ya halaiki na kujionyesha kwamba hana stress kabisa, ingawa anaonekana wazi kua na changamoto.

Ni muhimu sana huyu mzee akasaidiwa na kusitiriwa kwa namna ya kipekee sana kabla ya kuumbuka na kuadhirika vibaya baadae. Hekima na busara tayari hana tena.

Kupumzika active politics itamsaidia zaidi kuzeeka kwa heshima.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hakuna swala la until ,viongozi wengi waafrica ni kâm wakoloni weusi vile,wakiachwa free,hằwafanyi lolote,ni wachache Sana wanaojielewa,muache dk slaa afanye ambalo mungu huenda ndo kamtuma
 
Mtu yeyote asiye na msimamo huwa na hatima kama ya Slaa 1.Alihasi Kanisa, nadhani alitafuna wana/mwanakondoo 2. Akaingia uraiani, akaukwaa ubunge ccm kwa mihula miwili, muhula wa tatu akaangukia pua kura za maoni 3. Akahasi ccm akaingia cdm, akajenga mizizi mizito ndani ya cdm akaipeleka mpera mpera ccm, yakatokea yaliyotokea cdm akabinywa alivyobinywa 4. Akaibukia ccm, akaukwaa ubalozi wakati wa jpm
Huko alikowahasi aliwaacha mkiwa maksai? 😀 😀

Weka kumbukumbu zako sawa, Dkt Slaa hajawahi kuwa mbunge wa ccm.
 
Anatia huruma sana,

Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema.
Huenda hawamuamini kabisa.

Facial expressions, tone na body language yake katika ujumla wake vinaonyesha wazi ni mtu dhaifu na mchovu, anaepitia mazingira Fulani magumu kimaisha, na amekata tamaa licha ya kua anajikakamua sana mbele ya halaiki na kujionyesha kwamba hana stress kabisa, ingawa anaonekana wazi kua na changamoto.

Ni muhimu sana huyu mzee akasaidiwa na kusitiriwa kwa namna ya kipekee sana kabla ya kuumbuka na kuadhirika vibaya baadae. Hekima na busara tayari hana tena.

Kupumzika active politics itamsaidia zaidi kuzeeka kwa heshima.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman man Dr silasa, ameeza nywele, lakin kichwani anamadini sana, hauwezi kumfananisha na mzee yoyote kule ccm,ukimwondoa warioba. Tena mzee huyu anaogwa sana na samia na ccm kwa ujumla.
 
anatia huruma vile nani atamuogopa gentleman 🐒
 
Anatia huruma sana,

Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema.
Huenda hawamuamini kabisa.

Facial expressions, tone na body language yake katika ujumla wake vinaonyesha wazi ni mtu dhaifu na mchovu, anaepitia mazingira Fulani magumu kimaisha, na amekata tamaa licha ya kua anajikakamua sana mbele ya halaiki na kujionyesha kwamba hana stress kabisa, ingawa anaonekana wazi kua na changamoto.

Ni muhimu sana huyu mzee akasaidiwa na kusitiriwa kwa namna ya kipekee sana kabla ya kuumbuka na kuadhirika vibaya baadae. Hekima na busara tayari hana tena.

Kupumzika active politics itamsaidia zaidi kuzeeka kwa heshima.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hivi kwa akili zako finyu hizo, mtu anayeshuka madini kama haya unaweza kuleta hoja ya kijinga ya uzee au kuishiwa kisiasa...?

View: https://youtu.be/MR-vpODIExY?si=1GehRUjF-fn48P6j
Hivi mtu kama huyu ambaye baba zako wa uovu huko CCM na serikalini waliamua kumweka gerezani kwa miezi miwili bila kosa unaweza kusema ni uzee au kaishiwa..

I am sorry to say this to you, that, DON'T BE STUPID. BE A GT BEFORE YOUR FELLOW GTs...!!
 
Anatia huruma sana,

Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema.
Huenda hawamuamini kabisa.

Facial expressions, tone na body language yake katika ujumla wake vinaonyesha wazi ni mtu dhaifu na mchovu, anaepitia mazingira Fulani magumu kimaisha, na amekata tamaa licha ya kua anajikakamua sana mbele ya halaiki na kujionyesha kwamba hana stress kabisa, ingawa anaonekana wazi kua na changamoto.

Ni muhimu sana huyu mzee akasaidiwa na kusitiriwa kwa namna ya kipekee sana kabla ya kuumbuka na kuadhirika vibaya baadae. Hekima na busara tayari hana tena.

Kupumzika active politics itamsaidia zaidi kuzeeka kwa heshima.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Vyote
 
Mbowe atakuwa hataki hata kumuona.Maana kachangia sana kuondolewa Chadema.
 
Back
Top Bottom