Hivi Dkt. Slaa ni umri ndio umemtupa mkono au siasa ndiyo imeaanza kumkataa rasmi?

Slaa vs. Wassira....

Ungekuwa siyo chawa mwandamizi gentleman ungeniambia objectively ni nani kati ya hawa siasa zimeanza kumkataa rasmi!
andikia uzi mahusus tuone maoni na mawazo ya wadua wa siasa JF wanasemaje gentleman
 
Badala ya kumshangaa Wasira unamshangaa Slaa, kweli nyani haoni naniliiu yake 😩
muandikie uzi mahususi tuone maoni ya wadau gentleman, acha kumbwelambwela
 
Hakuna swala la until ,viongozi wengi waafrica ni kΓ’m wakoloni weusi vile,wakiachwa free,hαΊ±wafanyi lolote,ni wachache Sana wanaojielewa,muache dk slaa afanye ambalo mungu huenda ndo kamtuma
 
Huko alikowahasi aliwaacha mkiwa maksai? πŸ˜€ πŸ˜€

Weka kumbukumbu zako sawa, Dkt Slaa hajawahi kuwa mbunge wa ccm.
 
Gentleman man Dr silasa, ameeza nywele, lakin kichwani anamadini sana, hauwezi kumfananisha na mzee yoyote kule ccm,ukimwondoa warioba. Tena mzee huyu anaogwa sana na samia na ccm kwa ujumla.
 
Gentleman man Dr silasa, ameeza nywele, lakin kichwani anamadini sana, hauwezi kumfananisha na mzee yoyote kule ccm,ukimwondoa warioba. Tena mzee huyu anaogwa sana na samia na ccm kwa ujumla.
anatia huruma vile nani atamuogopa gentleman πŸ’
 
Hivi kwa akili zako finyu hizo, mtu anayeshuka madini kama haya unaweza kuleta hoja ya kijinga ya uzee au kuishiwa kisiasa...?

View: https://youtu.be/MR-vpODIExY?si=1GehRUjF-fn48P6jHivi mtu kama huyu ambaye baba zako wa uovu huko CCM na serikalini waliamua kumweka gerezani kwa miezi miwili bila kosa unaweza kusema ni uzee au kaishiwa..

I am sorry to say this to you, that, DON'T BE STUPID. BE A GT BEFORE YOUR FELLOW GTs...!!
 
Vyote
 
Mbowe atakuwa hataki hata kumuona.Maana kachangia sana kuondolewa Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…