Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa.
Vipi miezi Kadhaa kuelekea uchaguzi ? Wakati ambao CDM mpya inarudi kua Ile ya 2010, sio kwamba Dola imeburuzwa na kuingia kwenye mtego wa baadae kutumia nguvu kubwa kupitiliza ??.
Kuna wakati, CCM mnatakiwa kuchagua watu ambao tayari wenyewe wanakubalika na Raia, ili iwe nafuu kuwatetea na kupunguza matumizi makubwa ya nguvu.
MTU asouzika Wala kukubalika na akataman aendelee kubaki Madarakani, Huwa ni wa Hatari sana ,yupo radhi kumwaga damu za wale wanaowaona ni kikwazo .