mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazingatia quality wenzakoExplain
Hakuna cha ku-explain kwa sababu camera zina uwezo tofauti. Wewe unadhani ni kwa nini vitz zilizojaa kwenye mitaa ya Dar hazitumiki kwenye mashindani ya formula 1? Lengo la movie yoyote ni ku-create picha zenye hali inayofanana na uhasilia kwa kiwango cha juu kabisa. Picha zenye kutoa actors na mazingira kama walivyo na sehemu kama ilivyo. Bila shaka camera ni lazima zitakuwa complex na zenye kila vikombwelezo na hivyo kubwa.Explain
Mbona hapo ni simple sana mkuu, camera hapo ni kajitu kadogo sana ila accessories ndo zinachukua nafasi, mfanoExplain
Hapa umefafanua vyema Vipi hakuna mbadala WA red komodo tupate kitu kidogo portableMbona hapo ni simple sana mkuu, camera hapo ni kajitu kadogo sana ila accessories ndo zinachukua nafasi, mfano
Tracking device
Gimbal (Motion stabilizers).
N.B hilo kubwa hapo unaloona li mkono ni kwa ajili ya kustabilize hizo shots tu hapo ndo maana kuna hadi ka reli ka kutembelea.
Hiyo hapo RED komodo bila accessories
View attachment 2950139
hapa chini ikifungwa accessories zake
View attachment 2950145
Hapa chini imefungiwa motion trackers pamoja na gimbal
View attachment 2950147
Hii level ya film making bongo itafika 2100
Maamae! Hawa jamaa ni nyoko.Mbona hapo ni simple sana mkuu, camera hapo ni kajitu kadogo sana ila accessories ndo zinachukua nafasi, mfano
Tracking device
Gimbal (Motion stabilizers).
N.B hilo kubwa hapo unaloona li mkono ni kwa ajili ya kustabilize hizo shots tu hapo ndo maana kuna hadi ka reli ka kutembelea.
Hiyo hapo RED komodo bila accessories
View attachment 2950139
hapa chini ikifungwa accessories zake
View attachment 2950145
Hapa chini imefungiwa motion trackers pamoja na gimbal
View attachment 2950147
Hii level ya film making bongo itafika 2100
Mbadala upo ila kwa high quality cinemas huwezi weka vitu local local ndo maana options are limited.Hapa umefafanua vyema Vipi hakuna mbadala WA red komodo tupate kitu kidogo portable