Hivi drone haiwezi Fanya hii kazi ili lote Lina umuhimu gani?

Hakuna cha ku-explain kwa sababu camera zina uwezo tofauti. Wewe unadhani ni kwa nini vitz zilizojaa kwenye mitaa ya Dar hazitumiki kwenye mashindani ya formula 1? Lengo la movie yoyote ni ku-create picha zenye hali inayofanana na uhasilia kwa kiwango cha juu kabisa. Picha zenye kutoa actors na mazingira kama walivyo na sehemu kama ilivyo. Bila shaka camera ni lazima zitakuwa complex na zenye kila vikombwelezo na hivyo kubwa.
 
Mbona hapo ni simple sana mkuu, camera hapo ni kajitu kadogo sana ila accessories ndo zinachukua nafasi, mfano
Tracking device
Gimbal (Motion stabilizers).
N.B hilo kubwa hapo unaloona li mkono ni kwa ajili ya kustabilize hizo shots tu hapo ndo maana kuna hadi ka reli ka kutembelea.
Hiyo hapo RED komodo bila accessories

hapa chini ikifungwa accessories zake

Hapa chini imefungiwa motion trackers pamoja na gimbal

Hii level ya film making bongo itafika 2100
 
Hapa umefafanua vyema Vipi hakuna mbadala WA red komodo tupate kitu kidogo portable
 
Maamae! Hawa jamaa ni nyoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…