Hivi Dudubaya yeye anajua kila kitu hapa Duniani mpaka awe anatolea ufafanuzi wa kila jambo lenye utata?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani.
Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle east na upi ni msimamo wake.
Imenishangaza kidogo, sasa msimamo wa dudubaya kwenye siasa za middle east una impacts zipi?
Jamaa naona pia anatolea ufafanuzi mambo ya kisiasa,kiuchumi,kiteknolojia,kisanaa na hata kidini.
Je huyu jamaa yeye ni expert wa kila kitu?
 
Akili yako ndogo interview zinanunuliwa ili kujitrendisha Kwa majinga kama nyinyi.
 
Dudubaya yupi mnayemuongelea, ni godfray tumaini?
 
Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani.
Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle east na upi ni msimamo wake.
Imenishangaza kidogo, sasa msimamo wa dudubaya kwenye siasa za middle east una impacts zipi?
Jamaa naona pia anatolea ufafanuzi mambo ya kisiasa,kiuchumi,kiteknolojia,kisanaa na hata kidini.
Je huyu jamaa yeye ni expert wa kila kitu?
Ni kwa sababu anaongea ukweli bila kuficha na kuogopa, wewe hupendi ukweli au?
 
Ko hata kutaja mashoga itakuwa alizingua aisee wamdai hela kina b 12
 
UNA AKILI TIMAMU KABISA UNAKAA UNAMSIKILIZA DUDUBAYA HUYU AMBAYE ALIPEWA GARI MOROGORO NA BASHA!!!
 
Back
Top Bottom