Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

Pia akinyonya damu (blood meal) moja ana uwezo wakukaa bila kula kwa kipindi cha miezi sita ,kwaiyo ukihama utamkuta anakusubiri mwili wake ukiwa mweupe kama kifungashio cha sukari..maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…