Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

Ufukara, umasikini na uchafu uliopindukia ni marafiki wa hawa wadudu. Ukiwaona nyumbani kwako jiulize sana!!
 
Hao wajinga labda ukimbie nyumba kwa miezi sita ndio utaweza kuwaua kwa njaa, utawakuta wamekondaaa
 
Ukisikia jeshi la cambodia ndo hilo sasa. Taifa kubwa la Ufaransa liliwahi tangaza kuwa taifa lao liko katika hatari sababu ya huyo mdudu.
 
Ila huyo wa kike ni wa kuonewa huruma - yaani anasex mara moja tu maishani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…