PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
- Thread starter
-
- #41
Duh!!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Hapa akikata mauno.... Aibu naona mimi
Hata mimi nilidhani amekaae uchi studio, mambo ambayo kila mtu anafanya sirini au akiwa peke yake hakuna anayeweza kuyavumilia bali ni Mungu pekeeSasa kwani hapo kwenye kipindi EATV alikuwa amevaa hivyo vinguo au tatizo lako ni kuwa napokuwa kwenye mambo yake ndo huvaa anavotaka? Mie nilidhani amekaa uchi studio. Tukimfatilia kila mtu ktk mambo yake binafsi siamini kama kuna mtu atabaki salama
Kabla hujareplay jitahidi kusoma post vizuri na kuelewa.Sijafahamu ni kwa nini mleta mada ametuletea picha ya swimming pool... labda alitakiwa avae suti kwenye swimming pool
ni pm mkuuAnaitwa Amber Rutty nna picha zake nyingine huku chafu tupu sema tu siwezi kuweka hapa naweza pigwa Ban na Uzi ukafutwa
shida hiziiiYupo insta anajiita amber lutty. Kuna picha kasambaza anachorwa tattoo ya samak kwenye kalio
Shetani kasingiziwa walahi....Hapa akikata mauno.... Aibu naona mimi
Aisee kaoza
Huyu si binti ni mwanamke....tena matiti na tumbo lake linaonyesha alishazaaa....ndo mana kachora tatuuu kwenye tumbo....angalia vizuri utagundua!Hivi karibuni katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii ili kujipatia habari nilikutana na picha chafu za uchi za binti wa Kitanzania ambazo nilifanya kuzipotezea,kilicho ni shangaza siku chache zilizopita sura hiyo hiyo nimeiona EATV ikifanyiwa kipindi Je nikwamba hawa EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao kipindi hadi kumpa nafasi mkaa uchi?
Picha hapo chini ni binti huyo akiwa kwenye kipindi EATV[emoji116]
Na picha hii ni moja ya picha za huyo binti ambayo kidogo inaweza kutazamika maana zingine ziko vibaya siwezi kuziweka hapa[emoji116]
-Ndumilakuwili-
Ana magonjwa mtambuka huyu!