Hiyo Commonwealth Open University haitambuliki na TCU. Nakumbuka walimgomea mzee Tingatinga Phd yake kwa sababu aliipata hapo. Ndio zile zile za Phdakina Mas aburi na Diodorus Kamala
Mimi nadhani shida sio yeye, ni hao waliompa hizo degree
Jamani mi kilichonishtua ni jinsi alivyokuwa akibonga kimombo......anakwambia ......if still fighting then there will be no country?????/?
tehe tehe
Hii ni kasumba ya kudhani kuongea kingereza vizuri ni usomi. Jee hata ukiwa Professor utaweza kuongea kifaransa? Kichina? Kiitaliano? Kama kuongoe kingereza vizuri ndo kigezo cha Usomi bas Uingereza wote wangekuwa na PhD. Kumbuka umahiri wa lugha (language competency) ni tofauti na academic competency. Tukianza kusoma Kifaransa leo na Dr. Kitila Mkumbo, baada ya miezi sita tutakuwa na competency sawa pasipo kujali yeye ni PhD holder. Tukiongea kifaransa watu hawatapaswa kusema mbona huyu ni PhD holder kaongea vibaya sawa na yule ambaye si PhD holder.
Nota Bene: Academic Competency is different from Language Competency.
Kwani hiyo PHD aliisoma katika lugha gani? Kama ni kiingereza basi lazima akijue vizuri kwa kumaanisha kwamba awe na uwezo wa kuwasiliana na watu wa mataifa katika lugha hiyo.
PHD holder bila kujua mpangilio wa maneno na kujing'atang'ata ulimu hapo ni = na communication breakdown.
Wale mabalozi walipata wakati mgumu kumuelewa kaka.
Jamani mi kilichonishtua ni jinsi alivyokuwa akibonga kimombo......anakwambia ......if still fighting then there will be no country?????/?
tehe tehe
Ye si alipewa kwa kugundua njia ya kuogelea na kuzamia kwenye maji marefu!!
Acha Kukurupuka, Hiyo PHD aliipata kwa kutumia Kiswahili ama Kichina??[/QUOTE
Sijui kati yangu na wewe nani kakurupuka. Onesha na thibitisha kukurupuka kwangu kwa hoja.
Acha Kukurupuka, Hiyo PHD aliipata kwa kutumia Kiswahili ama Kichina??[/QUOTE
Sijui kati yangu na wewe nani kakurupuka. Onesha na thibitisha kukurupuka kwangu kwa hoja.
PHD Holder ====Aliipata kwa Kingoni ama Kiingereza???
PHD Holder, competence yake in English Speaking ni kama Mtoto wa Kidato Cha Nne, Shule ya Kata.
Hii ni Zaid ya Aibu
PHD Holder ====Aliipata kwa Kingoni ama Kiingereza???
PHD Holder, competence yake in English Speaking ni kama Mtoto wa Kidato Cha Nne, Shule ya Kata.
Hii ni Zaid ya Aibu
Kupata PhD kwa kiingereza sio hoja ya kuwa competent. Kumbuka competency is the interplay of many factors. Weakness yake ya kiingereza isingetarajiwa kurekebishika katika uandishi wa thesis. Mtu asipojifunza kiingereza vizuri katika level ya secondari, unadhani atajua kiingereza kwa ufasaha akiwa University kwa kusoma somo la Communication Skills?
Kama upo makini utagundua hoja yangu. Lakini tukirudi kwa swali la msingi la mleta hoja ni kwamba Emmanuel Nchimbi ana PhD ya nini? Ingefaa kujikita katika hoja ya msingi.

Ok,
Na mimi ndo Mleta Hoja mwenyewe
Hivi degree unapewa au unatunukiwa baada ya kazi ya masomo na utafiti? Nakuunga mkono kwamba mtunukiwa hana shida yeyote
Ok,
Na mimi ndo Mleta Hoja mwenyewe
Kwa hiyo umeleta hoja halafu hujui unataka watu wajadili nini. Kuna very obvious falacy katika mtiririko wa arguments zako. Title ya three ilikuwa "Hivi Emmanuel Nchimbi ni Dr Wa Nini???" katika maelezo yako unasema ulimwona akiwa katika Panel ya Mabalozi. Baada ya kupewa maelezo umeenda kwenye hoja ya makosa ya lugha aliyoyasikia.
So unataka watu wajadili nini na sio kujibu kwamba wewe ndo mlete uzi. Naanza kupata mashaka juu ya uwezo wako uchambuzi.
Remember that "learning is not only acquiring new knowledge and skills, but sometimes a person needs to unlearn in order to learn.
Uki staajabu ya Nchimbi utayaona ya Mulugo,hii ndio TZ bana kuitwa msomi sio mpaka uende darasani.