Q. NET wanawauzia watu Saa ya 4,500/- kwa Milioni 5.Baadhi ya vijana wenzangu huwa wananiacha hoi!
mfano, umenunua bidhaa inayokupa faida ya asilimia 5 ya mtaji, ukiwaambia hiyo ndo faida aiseh, utapondwa balaa basi mimi nauliza je faida huwa ni asilimia ngapi ya mtaji ?
Yaani ununue kitu buku, kisha uuze buku mbili au uuze buku miambili au buku kero e.t.c hatakama bidhaa haiendi kwa bei za aina hiyo
Bro hii 400% maana yake kama bidhaa ni ya buku ninauza kwa buku tano sio, maana asilimia mwisho ni mia kwa huo mtaji wa buku ninauza bidhaa kwa bei ya mara nne.Kunabidhaa zinauzwa at premium price izo enda hata 400% na zaidi
Q. NET wanawauzia watu Saa ya 4,500/- kwa Milioni 5.
Hapo kwa mtaji wa 4,500/- faida ni 4,995,500/-.
Na hizo ndio biashara ambayo hata siku ikiwa mbaya hukosi hela ya bia😂! Imagine umeuza sink la 75k kwa 15Ok ni faida ya almost asilimia 1OO ya mtajiAsilimia za biashara hazifanani inategemea na aina ya biashara unayouza.
Kwa mfano kama unauza materials ya ujenzi faida zake huwa zinacheza asilimia 50 hadi 100.
Lakini biashara ya duka la vyakula asilimia zake ni ndogo sana maximum asilimia 10.
So inategemea ni biashara gani unafanya
Ndio hvyo mkuu.Na hizo ndio biashara ambayo hata siku ikiwa mbaya hukosi hela ya bia[emoji23]! Imagine umeuza sink la 75k kwa 15Ok ni faida ya almost asilimia 1OO ya mtaji