mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Baadhi ya vijana wenzangu huwa wananiacha hoi!
Mfano, umenunua bidhaa inayokupa faida ya asilimia 5 ya mtaji, ukiwaambia hiyo ndo faida aiseh, utapondwa balaa basi mimi nauliza je faida huwa ni asilimia ngapi ya mtaji?
Yaani ununue kitu buku, kisha uuze buku mbili au uuze buku miambili au buku kero e.t.c hatakama bidhaa haiendi kwa bei za aina hiyo.