Mimi namjua kuliko unavyomjua wewe, baba yake anamiliki one of the yards maeneo ya kijitonyama karibia na KD hotel, Baba yake ana range ya silver n mark 2 kama sikosei, na kwao wapo watatu, yeye ndo wa kwanza anafuatia mdogo wake wa pil mwenye miaka 5 na mwingine aliyezaliwa ivi karibuni , baba yake ana pesa sana, walikuwa wanaishi mbezi beach karibia na inrerchick