Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Afu Dolly wa The Base Itv si anapigwa na The smash wa E-News jamani au niliona vibaya 🙄🙄Na hii ya kudate na Sam misago je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu Dolly wa The Base Itv si anapigwa na The smash wa E-News jamani au niliona vibaya 🙄🙄Na hii ya kudate na Sam misago je?
Afu huyu mtoto anatumia jina gani instagram?Mimi namjua kuliko unavyomjua wewe, baba yake anamiliki one of the yards maeneo ya kijitonyama karibia na KD hotel, Baba yake ana range ya silver n mark 2 kama sikosei, na kwao wapo watatu, yeye ndo wa kwanza anafuatia mdogo wake wa pil mwenye miaka 5 na mwingine aliyezaliwa ivi karibuni , baba yake ana pesa sana, walikuwa wanaishi mbezi beach karibia na inrerchick
Teh teh teh teh kwanini mkuu?Upo vizuri mkuu.
[emoji3]Mwanaume mwenye tabia za umama! Hivi wanaume mmepatwa na nn?