Hivi fangasi inapunguza nguvu za kiume?!!

Hivi fangasi inapunguza nguvu za kiume?!!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
 
Sasa wewe si ndo dokta wa manesi, unataka sisi wagonjwa ndo tukupe majibu tena?
 
Back
Top Bottom