Hivi fangasi inapunguza nguvu za kiume?!!

Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
Nenda kapate tiba kwanza hospitali,ukipona ndio uje huku tukushauri,maana mpk umefikia stage hiyo ina maana unaendelea kuwaambukiza wapenzi wako...
 
Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
Ndiyo inapunguza
 
Mwanaccm ana fangasi hadi anatoa unga, apate tone tone huyu aende hospital....
Dah!🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Jamani ee, tukiwa Huku tuzungumze mambo ya kitandani tu na habari za miundombinu yake; mambo ya vyama tuyatupe kule kwanza. Evelyn utakuja kukosa utamu Bure kwa kumuhusisha utamu wa mtu na siasa zake......shauri Yako.
 
Tone tone unataka hautaki??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tone tone unataka hautaki??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weee, lissu akisikia imeguswa hiyo tone tone yake uchiba unapotea ule. Atatoka mbio kule kuja kuangamiza mtu km sio watu.🀣🀣🀣
 
Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
Tungekuwa na mfumo mzuri wa huduma ya afya nchini hili suala usingelileta jf, zamani tu ungekuwa ushamuona daktari ashakutibu mafangasi na ushaendelea na mambo mengine.
 
Hiyo kipindi cha shule tuliita P erosion,ukianza kujikuna utamu wake kama upo choo cha manyasi unaweza dondoka nacho,

Tiba punguza kuoga,ukianza kuoga uwe unajifuta vizuri na taulo na sio kujikung'uta kama kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…