Hivi FINCA wanatoaga majibu ya Usaili baada ya muda gani?

Hivi FINCA wanatoaga majibu ya Usaili baada ya muda gani?

eugenp

New Member
Joined
Aug 13, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂

Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
 
Kuwa na subira kama hawakufanya kukamilisha protocol.
 
Usijalii utaitwa tu, hata week mbili relax huwaa wanaajiri Sana Ila pia wanaongoza kwa kutumbuaa.anyway ulifanya interview ya Nini?
 
Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
Nafasi gani mkuu ulifanya?.
 
Back
Top Bottom