Hivi first date na mke wa mtu inatakiwa kuwa vipi?

1. Andaa jeneza, gharama za mazishi maana tayari una nyota ya kifo

2. Nenda na mafuta

3. Jiandae kuleta mikosi ya familia nyingne kwenye ukoo wako au lango lako

4. Cha kwanza mwaweza tumia mpira, wasi wasi ni cha pili, hvo magonjwa ya zinaa ni ya kufikia

5. Hakikisha umeandika wosia

6. ACHA UPUMBAVU, ACHA UZINZI TULIA NA MKEO AU ACHA KUHARIBU UCHUMBA WAKO KAMA HAUJAOA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…