Hivi first date na mke wa mtu inatakiwa kuwa vipi?

Hivi first date na mke wa mtu inatakiwa kuwa vipi?

Lolote liwakute, kumbe huwa mnafanya kusudi? Nikajua huwa mnafanya bila kufahamu.

Wewe ni mpenda kitonga, na huyo mwenzio ni mpuuzi asiyejua kwanini aliolewa, kulikuwa na option ya kubaki single hakuiona? Au alikuwa hana pa kuishi.

Takataka.

Utelezi wanataka, kuhudumia hapana, Matrako yao
 
Mke wa mtu hana tofauti na mwanamke mngine, ukishamla ndio utajua kwanini mume wake hana time na huyo mwanamke hadi wewe umekula
 
Yaani wewe acha tu natoa huduma na kumfanyia kila kitu anataka huyo mwanamke....Na kupendeza mpaka unataka kumla ni kwa ajili ya mimi kumpendesesha mpaka chupi namnunulia alafu wewe kidume unataka ukabandue bure tu unamkuta ananukia vizuri na yupo powa kabisaa acha kabisaa.....Hiyo siku lazima upakwe mafuta vizuri sanaaa kijana na nita make sure hutembei hiyo siku.....Watu wata deal na wewe usiku mzima....
 
Kaka acha inayo mfanyia mwenzio Leo nawe utafanyiwa kesho ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
 
Jivunie kudate mke wa mtu.

Ukifikia kipengele cha kuliwa, ficha aibu yako
 
Back
Top Bottom