Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Mara nyingi sana type hizo utakuta alishajiondoa zamani sana, kwa maana hata Kiislamu tu Mwanamke haruhusiwi hata tu kumpa mkono kwa maana ya kusalimiana Mwanaume asiye Mume wake.
No respect, No Boundaries!
 
Mara nyingi sana type hizo utakuja alishajiondoa zamani sana, kwa maana hata Kiislamu tu Mwanamke haruhusiwi hata tu kumpa mkono kwa maana ya kusalimiana Mwanaume asiye Mume wake.
No respect!
Kama angetaka Uislamu asingeingia kwenye siasa za figisu, wizi wa kura, mipasho etc.

Hebu muondoeni huko tujadili mambo in a secular way.
 
Hata mimi mlima chumvi wa Buza imeniuma kwa kweli siyo haki hata kidogo.

Ndio maana sheria za kiislamu zimeweka mkazo mkubwa mahusiano ya wanawake na wanaume hairuhusiwi mtu na mtu ambaye yeye halali kumuoa ;
1.Kupeana mkono hata kwa salamu
2.Kukaa faragha isipokuwa itokee dharura na itakuwa kwa mujibu wa sheria hata misikitini sehemu ya wanawake na wanaume zimetegwa
3.nk

Nashangaa Mama kajiachia tena kwa pozi tata na picha kuzua taharuki mitandaoni kiasi ambacho wengine kuweka caption zisizo na maadili na kudhalilisha . Uislamu umemkirimu sana mwanamke na kuumpa stara lakini watu wanataka so called uhuru na haki sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…