abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,747
- 1,158
Ww ndio unafaa?nan kakuthibitishia hilo?au ndyo kama lile iblisi kuu lilokuwa likijiona yy ndyo bora kuliko wengne?
Kwa maandishi haya unajisikia kweli kuna kitu umechangia hapa?
Kujitangaza kwako kuwa 'chawa' kwa mtu usidhani wengine nao ni lazima wawe na mtu wa kumtegemea na kumkingia kifua hata kama hana uwezo wa uongozi. Mtu wako hafai.