We bwegee kwel! Sio kila kitu sukuma gang! Fala ww...kwan picha huzioni? Ukwel ndo huoo...ukiona manyoyaa..fala ww
Si first gentleman tu, Waislam wote wanajisikiaje baada ya kuona hii picha? Hapa Mama atakuwa analaaniwa sana na maustadh kila kona hapa nchini.Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Shenzi, shenzi kabisa [emoji35][emoji35][emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbav kabisa!!!Kuna kitu nimeona kwenye midomo na vidole vya mkono wa kulia vya "actress"
Kama vile alisikia "rahaaaa saaana"
Hamna kitu apo ubongo umejaa umarekani na uzungu.Mara nyingi sana type hizo utakuta alishajiondoa zamani sana, kwa maana hata Kiislamu tu Mwanamke haruhusiwi hata tu kumpa mkono kwa maana ya kusalimiana Mwanaume asiye Mume wake.
No respect, No Boundaries!
Kosa liko wapi ye ndo aliepiga picha yeye anafurahia mama la mama alivotokelezea eeNdugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.
Mh mpo wachache acheni kumdanganya bibi yenu enyi virobotoMaskini mna roho mbaya licha ya hivyo mnakera sana. I really hate life strugglers.
Mama chapa kazi tuliowengi tuko nyuma yako.
Huyo ni public figure wewe acha ushamba wa kisukuma. Vingine siyo hata vya maanaSisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Wewe jamaa yangu upo?Mzee huyo mke wake wa 3 sasa presha ni ya nini
Hawa jamaa washamba sana! Ndiyo maana hadi leo wanakunya vichakaniHuyo ni public figure wewe acha ushamba wa kisukuma. Vingine siyo hata vya maana
Mkuu naona unaingilia maisha binafsi ya mheshimiwa Rais, unaleta aina fulani ya unyanyasaji wa kijinsia pengine bila ya kufahamu.Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Mkuu,hiyo picha sio mimi niyoipiga.huenda hao walioipiga ndio waliingilia faragha ya MheshimiwaMkuu naona unaingilia maisha binafsi ya mheshimiwa Rais, unaleta aina fulani ya unyanyasaji wa kijinsia pengine bila ya kufahamu.
Maisha ya Mama yako mzazi unapaswa kuyaheshimu, kaliona jua kabla yako.
Acha unafiki kwani hana mbususuNdugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.
Kuongoza hii nchi shida sana Chief! Bado tuna mazinja mengi sana, ila tutafika tuMkuu naona unaingilia maisha binafsi ya mheshimiwa Rais, unaleta aina fulani ya unyanyasaji wa kijinsia pengine bila ya kufahamu.
Maisha ya Mama yako mzazi unapaswa kuyaheshimu, kaliona jua kabla yako.