Ndugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Wivu kwa wanawake ni ujinga na umaskini!Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Maskini mna roho mbaya licha ya hivyo mnakera sana. I really hate life strugglers.Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Sio kugeana tu...wakapigiana na kualikana Kilimanjaro...Inategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu kivile?
View attachment 2205859
Pisi kali inachukua nambaInategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu kivile?
View attachment 2205859
Sasa wewe hapo unafikiri Tanzania inaendeshwa kwa minajiri ya kidini, big no. Rais yupo kwenye kazi. Wewe kwa akili yako waigizaji waliooa na kuolewa wakifanya romantic act tayari wamezini? Akili za kitoto sana hizoMara nyingi sana type hizo utakuja alishajiondoa zamani sana, kwa maana hata Kiislamu tu Mwanamke haruhusiwi hata tu kumpa mkono kwa maana ya kusalimiana Mwanaume asiye Mume wake.
No respect!
Wako mahakamani kwenye kesi yenu ya ugaidi na huyo ni mwanae.Inategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu kivile?
View attachment 2205859
Huyo hata akimuona mama yake mzazi katika picha kama hiyo. Atafikiri hivyo hivyo. Inawezekana pia hata akikutana na mama yake maeneo ya changudoa, atahisi kuwa mama yake yupo kazini. Kifupi ni tatizo la mtazamo wake.Ndugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.
Teh teh teh ππ unatafuta ugomvi ?Inategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu kivile?
View attachment 2205859
Hahahahaha binadam mko humu JF ππInategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu kivile?
View attachment 2205859
Wivu unri miaka 80 kwa mwanamke kwa mme ni 100Kwani wivu huwa una cha umri mkuu?
Hayo ni marupurupu ya kazi nzito haha[emoji16][emoji16]"Can you fly to KIA?"..
Kivipi Yaani?. Wanausalama wanamzuia mama kupewa maneno matamu?. Wanausalama wanasikia kila neno linalotamkwa kati ya hao wawili?Mleta mada anajifanya hajui kwamba hilo eneo lote lilikuwa chini ya ulinzi wa wana usalama.
Hata kesho hawapati hoja.Maza ana ahadi aliitoa,anaitekeleza kesho.Gang mmeshiwa hoja,subirini kesho mei moja mtazipata hoja
Hahahaha ππ€£π€£ amna mkuu, ndo demokrasia yenyewe hii tunayoiomba.Teh teh teh ππ unatafuta ugomvi ?
Mti umebebwaSisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Kumbuka pia yeye ndio Amiri Jeshi mkuu wa hao wote aliowatajaMleta mada anajifanya hajui kwamba hilo eneo lote lilikuwa chini ya ulinzi wa wana usalama.