Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?


Unataka tu amini watalii/watu kutoka nchi za Kiislamu hawatavutiwa na RT movie?!
 
Kwani ukijibu tu vizuri utaonekana boya humu eeh?. Kwa hiyo ukijibu kwa kukashfu wengine kumwita mweupe ndio watakuona mjanja humu?. Uko nyuma sana ya wakati wewe wa blue
 
Wewe hapo ndiyo unaharibu zaidi. Rais?

Akheri abaki kuwa mke wa mtu. Rais wa nchi gani huyo anayefanya kazi za namna hiyo? Huoni kuwa analidhalilisha taifa lake?
Aisee, unahasira sana mkuu,

Wewe si ndo yule wa mradi wa Bandari kule Bagamoyo na ukiambiwa kuuelezea unapiga hadi tunachungulia faida tupu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…