masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Ndiyo maana hamuendelei!Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Umechanganyikiwa, hata hujui unaloandika. Mimi na Bandari ya Bagamoyo wapi na wapi?Aisee, unahasira sana mkuu,
Wewe si ndo yule wa mradi wa Bandari kule Bagamoyo na ukiambiwa kuuelezea unapiga hadi tunachungulia faida tupu?
Hapana , hata nchi nyingi zinazo julikana kama za kiislamu sheria nyingi zimelegezwa watu wanavaa vimini hadharani alcohol zinafutwa uraiani na matamasha ya mziki yapo kama kawaida mfano Dubai, Qatar, Saudi Arabia (baadhi ya miji) nkUnataka tu amini watalii/watu kutoka nchi za Kiislamu hawatavutiwa na RT movie?!
Nilimkuta mzee ana around 75 analia sababu ya mapenz mkewe aliyeishi miaka yote kamkimbiaMtu yupo Around 70 yrs wivu utoke wapi
Kwani mke wa Ally Kiba akiona mumewe anavyokumbatiwa na pisi kali za kutisha anaona wivu?Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Na inaruhusu wanaume wangapi? Huyu mama hafungi Ramadan?Awaze nini na dini inaruhusu wake wanne...[emoji23]
Unavyojiskia weweSisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
So you want to tell us chief Hangaya has been eaten by that beberu?Kwahiyo mwamba alienda kuipekua pekua ile kapu, baada ya kumaliza akaitelekeza.
Jesus Christ of Nazareth.Tatizo liko kwenye ushungi.
Unavaaje ushungi huku unafirwa na mabeberu!?
Labda kama kuna yale mambo ya kizenji zenji anayapata ndo atahisi wivu,Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Acha uchochezi picha iko wazi mama Yuko kaziniSisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
Hii picha inafikirisha Kuna mengine nyuma ya pazia hapaInategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu kivile?
View attachment 2205859
I ain't got none idea about it bruh.So you want to tell us chief Hangaya has been eaten by that beberu?
Usipokula ban wewe, nitashangaa!Tatizo liko kwenye ushungi.
Unavaaje ushungi huku unafirwa na mabeberu!?
Ndo maana yake mkuu.Hii picha inafikirisha Kuna mengine nyuma ya pazia hapa
La kwanza hairuhusu la pili subiri aje akujibu!.Na inaruhusu wanaume wangapi? Huyu mama hafungi Ramadan?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mwiba unamaanisha nini?Na inasemekana kuwa bint ana mwiba. So sijui ulimchoma baada ya ku fly to kia au alikuwa nao kabla ya ku fly. Yetu macho mkuu 🙊