Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Bado wapo pamoja wanaishi wote marekani,hapendi kuanika maisha yake personal mitandaoni
Hata mie najua iko hivi
Confirm na vyanzo vyako basi.. Kuna wadau wanadai ndoa haipo tena
Hahahaha , aseeBasi atakuwa ni msiri sana. Kuna wanazengo hapo juu wamesema ndoa haipo tena.
MTC | 101| [emoji769]