Hivi flaviana si aliolewaga jamani, iliishaje?

Hivi flaviana si aliolewaga jamani, iliishaje?

Walishashindwana mbonaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap mchaga anaitwa Deo kama sikosei alikua anaishi US nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap niliskia wametengana mda Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yuko na Deo bado[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wapo pamoja wanaishi wote marekani,hapendi kuanika maisha yake personal mitandaoni
Hata mie najua iko hivi
Confirm na vyanzo vyako basi.. Kuna wadau wanadai ndoa haipo tena
Basi atakuwa ni msiri sana. Kuna wanazengo hapo juu wamesema ndoa haipo tena.
Hahahaha , asee

MTC | 101| [emoji769]
 
Basi atakuwa ni msiri sana. Kuna wanazengo hapo juu wamesema ndoa haipo tena.
Basi hampendi usiri gani kwa mume wake yeye mbona haonyeshi huo usiri wake kila siku yupo mitandaoni,kuna kiyu si bure kama alituonyesha akiolewa basi atuonyesha na maisha yake na huyu mume wake, angekuwa anataka usiri basi angefunga ndoa kwa siri na akauchuna,jua watu walishaanza kutuma maombi hivyo baada ya kusikia jimbo lipo wazi
 
Life na wanamitindo n kuanzia late 30's au early 40's sahz bado yupo kazini
 
Back
Top Bottom