Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CHADEMA, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais?
Huyu Mzee hapendi kabisa kuwapisha wengine wasogeze gurudumu mbele. Na hii siyo kwa sababu kuna agenda hajakamilisha ila ni maslahi yaliyopo hapo.
Kung’ang’ania kwake uenyekiti kunatoa tafsiri hasi kwa chama chenu cha CDM.
Ng’atuka basi mzee.