Hivi Freeman Mbowe anajisikiaje kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa chama chake?

Hivi Freeman Mbowe anajisikiaje kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa chama chake?

Akili zetu wengi wetu ndio hizi sasa.

Sii kila mtu ni mwanasiasa, kuna sie wengine ni watanzania tu hatuna cha ccm wala chadema, kazi kwako
Duniani hakuna mtu neutral in psychological point of view,acha kujidanganya jombaa
 
Mbowe na CHADEMA msifanye kosa kumwondoa Mbowe kwa sasa mpeni angalau mpaka 2030 baada ya uchaguzi. Adumu Mwenyekiti Mbowe na timu yake!
Ngoja waje chama cha mambuzi especially sukuma ngang 😂,huwa wakisikia jina la mwamba wanahisi kujinyea
 
Mbowe na CHADEMA msifanye kosa kumwondoa Mbowe kwa sasa mpeni angalau mpaka 2030 baada ya uchaguzi. Adumu Mwenyekiti Mbowe na timu yake!
Mbowe kwanini chama cha mambuzi kinamuhofia sana 😂
 
Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?

Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CDM, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais?

Huyu Mzee hapendi kabisa kuwapisha wengine wasogeze gurudumu mbele. Na hii siyo kwa sababu kuna agenda hajakamilisha ila ni maslahi yaliyopo hapo.

Kung’ang’ania kwake uenyekiti kunatoa tafsiri hasi kwa chama chenu cha CDM.

Ng’atuka basi mzee.
Anajisikia heshima sana
 
Tanzania tuna vyama vingi lakinin vyote vya maskini na walalla hoi ikiwemo CCM

Chama pekee kikichojipanua kama Capitalist part ni Chadema tu mimi CCM pure na sikubali Chadema itekwe na Malofa no please nendeni vyama vingine huko hamieni huko hatuwezi kuwa na vyama vyote viba Ideology ya ulofa na kuongozwa na malofa no please

Mbowe komaa hapo chama kibaki Cha capitalists usiruhusu malofa wapore chama kama nchi tunahiaji drivercity kiafya kisiasa piga chini Malofa wote wanaotaka kupora chama kitoke kuwa capitalist party kiwe chama Cha wanyonge
 
Mi nilijua wewe ni shujaa wa kuhoji mambo nyeti yanayolitafuna taifa kumbe ni mwendo wa buku saba kwa andiko linalohusu M/kiti chadema. Kwa nini usihoji form moja kwanza.
Kwa hio tunakubaliana CCM na CHADEMA kote hakuna demokrasia sio?
 
Kwa hiyo Mbowe anataka kuwa kama Cheyo?
Mbona hujauliza kuhusu John Cheyo wa chama Cha UMD, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama chake, tokea kianzishwe, mwaka 1992??😎

Umebaki kumwandama Mbowe tuuu..........

Tunajua hizi zote ni propaganda za CCM😗
wa
 
Ushasema chama chake, sasa ataakiacha vipi??
 
Alitangaza hadharani angeachia ngazi mwaka jana mwishoni; hivi kumbe alibadili gia angani bila kutuambia?
 
Chama ni cha baba mkwe mnataka awaachie wavamizi? CHADEMA wanadai raisi apunguziwe mafaraka lakini hutawasikia wakidai Mungu wao Mbowe apunguziwe madaraka.
 
Ktk hili la Mbowe kujigeuza sultani wa chama, hakuna mpenda demokrasia yeyote atakayemuunga mkono Mbowe. Anapaswa kujitawaza ili kuondoa najisi ya demokrasia kwa kung'atuka.
 
Watu makini wote wameondoka kisa yeye. Amebaki na waganga njaa ambao wanamlamba miguu wapate asali. Huyu jamaa anaihujumu nchi.
Anahujumu vipi nchi wakati hana madaraka ya kuongoza nchi
 
Back
Top Bottom