Unateseka ukiwa wp we mataga,bado yupoyupo sanaaa 😂,chama cha mambuzi bna mbona hamumulizii Lipumba!?. 😂 😂Anashangaza na kutia shaka, na kijishushia heshima aliyonayo na imani mioyoni kwa watu.
Mbona hujauliza kuhusu John Cheyo wa chama Cha UMD, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama chake, tokea kianzishwe, mwaka 1992??😎Je ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CDM, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais?
Huyu Mzee hapendi kabisa kuwapisha wengine wasogeze gurudumu mbele. Na hii siyo kwa sababu kuna agenda hajakamilisha ila ni maslahi yaliyopo hapo.
Kung’ang’ania kwake uenyekiti kunatoa tafsiri hasi kwa chama chenu cha CDM.
Ng’atuka basi mzee.
Tumeanza na Mbowe.Mbona hujauliza kuhusu John Cheyo wa chama Cha UMD, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama chake, tokea kianzishwe, mwaka 1992??😎
Mn
Unateseka ukiwa wp we mataga,bado yupoyupo sanaaa 😂,chama cha mambuzi bna mbona hamumulizii Lipumba!?. 😂 😂
Nakuunga mkono mkuu.Akili zetu wengi wetu ndio hizi sasa.
Sii kila mtu ni mwanasiasa, kuna sie wengine ni watanzania tu hatuna cha ccm wala chadema, kazi kwako
Dictatorial regime kama hii lazima ake mtu makini kama Mbowe/ Lisu na wengine ambao Umma unathibitisha kuwa hawaongeki. Utakufa kwa simanzi maana Mbowe haodoki. Ikija katiba ambayo inamnyima Samia UMUNGU ataondokaIla kila siku mnapiga kelele kwa kina M7,Kagame na wengineo kua hawatoki madarakani,huo Ni uenyekiti tu angekua Rais si angekua Kama hao wengine tu?
Democracy ni pamoja na Uhuru wa kuhoji,kwa kua Ni Mbowe ndio watu wasihoji?Mbona hujauliza kuhusu John Cheyo wa chama Cha UMD, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama chake, tokea kianzishwe, mwaka 1992??😎
Umebaki kumwandama Mbowe tuuu..........
Tunajua hizi zote ni propaganda za CCM😗
Wewe ndo tukuulize unajisikiaje kushindwa kudumu au kufanikiwa kwenye kazi zako?Je ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CDM, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais?
Huyu Mzee hapendi kabisa kuwapisha wengine wasogeze gurudumu mbele. Na hii siyo kwa sababu kuna agenda hajakamilisha ila ni maslahi yaliyopo hapo.
Kung’ang’ania kwake uenyekiti kunatoa tafsiri hasi kwa chama chenu cha CDM.
Ng’atuka basi mzee.
Kagame na Museveni wakisema hawatoki madarakani sababu nchi zao bado hazijawa stable Ni sawa au sio sawa?Dictatorial regime kama hii lazima ake mtu makini kama Mbowe/ Lisu na wengine ambao Umma unathibitisha kuwa hawaongeki. Utakufa kwa simanzi maana Mbowe haodoki. Ikija katiba ambayo inamnyima Samia UMUNGU ataondoka
Mbowe na CHADEMA msifanye kosa kumwondoa Mbowe kwa sasa mpeni angalau mpaka 2030 baada ya uchaguzi. Adumu Mwenyekiti Mbowe na timu yake!Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CDM, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais?
Huyu Mzee hapendi kabisa kuwapisha wengine wasogeze gurudumu mbele. Na hii siyo kwa sababu kuna agenda hajakamilisha ila ni maslahi yaliyopo hapo.
Kung’ang’ania kwake uenyekiti kunatoa tafsiri hasi kwa chama chenu cha CDM.
Ng’atuka basi mzee.
Mi nilijua wewe ni shujaa wa kuhoji mambo nyeti yanayolitafuna taifa kumbe ni mwendo wa buku saba kwa andiko linalohusu M/kiti chadema. Kwa nini usihoji form moja kwanza.Democracy ni pamoja na Uhuru wa kuhoji,kwa kua Ni Mbowe ndio watu wasihoji?